6/recent/ticker-posts

Mkutano wa kampeni za ADC, Jadida, Wete Pemba


MWENYEKITI wa bodi ya wadhamini Taifa wa Chama cha ADC, Kimangale Ayoub Mussa, akiwaonyesha wananchi na wanachama wa ADC Jimbo la Wete, mfano wa karatasi ya Kupigia Kura Urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutokuwemo kwa Chama cha CUF na Jina la UKAWA katika karatasi hiyoo, wakati wa mkutano wa kampeni wa Chama hicho.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 WANANCHI na wanachama wa ADC jimbo la Wete Kisiwani Pemba, wakisikiliza kwa makini jinsi ya wagombea waliomo katika karatasi za kupigia kura urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa mkutano wa Chama hicho katika uwanja wa Jadida Wete.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WANACHAMA wa Chama cha ADC Jimbo la Wete Kisiwani Pemba, wakiwa na sare zao wakimsikiliza mgombea urais wa Zanzibar Mhe:Hamad Rashid Mohamed, wakati alipokuwa akiwahutubia wanachama wa ADC Jimbo la Wete huko katika viwanja vya Jadida Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akizungumza na wananchi na wanachama wa ADC Jimbo la Wete katika mkutano wa hadhara wa kuwanadi wagombea Ubunge, Udiwani na Uwakilishi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Post a Comment

0 Comments