Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzin Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi Pemba wakati alipowasili kisiwani humo kuendelea na mikutano yake ya Kampeni ya Kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.
Rais wa Zanzibar Dk Shein, akisalimiana na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kisiwani Pemba kwa ajili ya mikutano yake ya kampeni kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi wa Pemba alipowasili uwanja wa Ndege wa Karume Pemba kuendelea na ziara yake ya Mikutano ya Kampeni ya Kugombea Urais wa Zanzibar
0 Comments