6/recent/ticker-posts

Matukio Mitani Zenj


Wananchi wakiwa katika harakati za kujipatia vifaa mbalimbali katika  mnada wa marikiti Zanzibar  huuzwa vifaa vilivyotumia na baadhi yake vyengine huwa vipya kwa matumizi ya nyumbani.
Msimu wa Matunda ya Mananasi na Cheza ukiwa umeaza katika  kisiwa cha Unguja na kupalekea bidhaa hiyo kuonekana kwa wingi na bei yake kuwa ya chini nanasi moja huuzwa  kati ya shilingi  1000/= na 3000/= inategemeana na ukubwa wake na fungo moja la cheza jemu huuzwa katika marikiti ya darajani  shilingi 2000/=.

Post a Comment

0 Comments