IPO haja kwa wananchi kuchukuwa tahadhari wakati
wanapopanda katika daladala, picha gari ya abiria ruti ya Vitongoji Chake
Chake, ikiwa imening'iniza watu saba kwenye kibao cha nje, wakati ilipokuwa
ikielekea Vitongoji kutoka Chake Chake.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Viongozi wa Dini Watoboa Siri: Ndoa za Utotoni Zazidi Kushamiri Vijijini
Licha ya Sheria
-
Dar es Salaam, Machi 28, 2026 — Viongozi wa dini nchini wameeleza wasiwasi
wao kuhusu kuendelea kwa ndoa za utotoni, wakibainisha kuwa changamoto ya
uelewa...
40 minutes ago

0 Comments