Zanzibar ni moja ya Nchi yenyev Vivutio vya Utalii kwa Wageni wanaotembelea Zanzibar kwa shughuli za Kitalii kutembelea sehemu mbali mbali za Kitalii ndani ya Zenj. Kama wanavyoonekana Wageni hawa wakijiandaa kuelekea katika kisiwa cha historia cha Changuu kujionea mambo mbali mbali ya historia ya kisiwa hicho wakiwa katika ufukwe wa bahari ya malindi kujiandaa kupanda boti kuelekea katika eneo hilo la kisiwa.
FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA
-
Waswahili husema "Dunia ni jumba la maajabu " Ngorongoro haiishiwi maajabu
, Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la
Ng...
2 hours ago
0 Comments