Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 39 (2) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, amemteua Mhe Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Uteuzi huo umeanza leo 28,March 2016.
SHULE ZOTE ZA SERIKALI KUFIKIWA NA VITABU KABLA HAZIJAFUNGULIWA
-
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba
amesema, TET imejipanga kuhakikisha shule zote za Serikali zinafikiwa na
vitabu kabla h...
3 hours ago
1 Comments
Wapeana vyeo wenyewe kwa wenyewe kama huyajui uliza uambiwe si mageni hayo tulijua tu itakua hivyo
ReplyDelete