RISASI ZIMEISHA?----------NI mtu na mwanawe wa kumzaa ambao wote kwa sasa ni wasanii kwenye kundi la maigizo la Mkoani wilaya ya Mkoani Pemba, ambapo walikuwa kwenye igizo baada ya mtoto yeye kuigiza kama Polisi na baba mtu yeye kama mgombea aliesababisha mauwaji kwa mgombea mwenzake, igizo hilo lililovuta hisia za wengi lilifanyika Uwanja wa Tennis Chakechake Pemba kwenye sherehe za siku ya sheria , (Picha na Haji Nassor)
TANESCO YAHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA RUVUMA
-
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
Mkoa wa Ruvuma, Alan Njiro amewahimiza wananchi kujikita katika matumizi ya
ni...
31 minutes ago
0 Comments