Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi (BLM) mara baada ya kuwaapisha Viongozi hao hapo jana, kikao kilichofanyika leo kiliwajumuisha Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri wote wa wizara 13 katika ukumbi wa Baraza hilo Ikulu Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.]
Matukio : Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya...
2 hours ago

1 Comments
Mmmh business as usual, you ought to change your mindset. Nendeni kwa wananchi mkatatue changamoto zao.
ReplyDelete