Baraza la Manispa likiimarisha miundombinu ya maegesho ya magari katika Manispa ya Zanzibar kupunguza msongamano na uegeshaji wa magari ovyo katika baadhi ya barabara za Manispa ya Zanzibar, kama walivyokutwa wafanyakazi hao wakichora alama za maegesho ya magari katika jengo la Bima Unguja.
SONGEA: MRADI WA MIJI 28 WAFIKIA ASILIMIA 6.5, WALENGA KUONDOA CHANGAMOTO
YA MAJI.
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Songea
SOUWASA, Mhandisi Patrick Kibasa, amesema kuwa mradi mkubwa wa maji
unaotekelezwa...
23 minutes ago
0 Comments