MCHEZO wa karata kwa baadhi ya maeneo hujitokeza zaidi kipindi cha mwezi wa Ramadhani,
ingawa kwa vijana wanaokwenda maskani ya wazee wa CCM Mkoani Pemba, mchezo huu
upo daima, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
FITCH IMEENDELEA KUIPA TANZANIA UKADIRIAJI WA B+ NA MUELEKEO WENYE UTHABITI
KATIKA UKUAJI WA UCHUMI
-
Na Mwandishi Wetu
MIRADI mikubwa ya kimkakati nchini imeonyesha tija na kuwa sehemu ya
mafanikio ya kiuchumi kimataifa.
Hilo limebaimika mwishoni mwa w...
2 hours ago
0 Comments