Wananchi wakiangalia ajali ya mpanda vespa na gari ndogo iliyotokea katika makutano ya barabara ya Michenzani na kwenda gogoni, katika ajali hiyo mpanda vespa amepata majaraha na kukimbizwa hospitali ya mnazi mmoja kwa matibabu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema mpanda vespa akitokea maisara kuelekea michezani raundi abauti.
IBKI ENTERPRISES YAZINDUA DUKA LA KISASA LA BIDHAA ZA HAIER UBUNGO
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KAMPUNI ya Usambazaji na Uuzaji wa Bidhaa za Haier, IBKI Enterprises Ltd,
imezindua duka la kisasa la uuzaji wa bidhaa za k...
1 hour ago
0 Comments