GARI ya Abiria yenye namba za Usajili Z524 yenye ruti Chake Chake Wete, ikiwa imepata ajali na kuingia katika bonde la mpunga eneo la Machengwe Wilaya ya Wete, wakati ilipokuwa katika kazi zake na abiria wote waliokuwemo walinusurika kufa.(Picha na Zuhura Msabah, PEMBA.)
RAIS SAMIA: LUKUVI ALIJENGA MAHUSIANO MEMA YA KUDUMU NDANI YA JAMII
-
Na Janeth Raphael - MichuziTv
Rais Samia amesema Taifa litamkumbuka William Lukuvi kama kiongozi
aliyegusa maisha ya wengi kwa moyo wake wa upendo, hek...
29 minutes ago



0 Comments