Skuli ya Elimu Endelezi na Utaalamu (SCOPE) ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinawatangzia SCOPE IT BONANZA ambalo litashindanisha wanafunzii mbali mbali wa Suza katika mambo ya ICT na kuzawadiwa zawadi mbali mbali.Karibuni
SEKTA YA MAZIWA YAPATA NGUVU MPYA: WAKAGUZI WAPEWA MAFUNZO MOROGORO
-
Sekta ya maziwa nchini imepata msukumo mpya kufuatia kuanza kwa mafunzo
maalum kwa wakaguzi wa maziwa kutoka mikoa ya Morogoro, Kilimanjaro,
Arusha, Tanga ...
19 minutes ago

0 Comments