UJENZI wa Barabara ya Chake Chake Spitali-Tibirinzi,
ikiwa imeanza kwa hatua ya awali ya uchimbuaji wa daraja katika barabara hiyo
inayojengwa kwa kiwango cha lami.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAKALA WA VIPIMO WABAINI UDANGANYIFU WA MIZANI MABUCHANI TEMEKE NA KIGAMBONI
-
Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Temeke umebaini vitendo vya udanganyifu
katika baadhi ya mabucha yanayouza nyama, baada ya kufanya operesheni
maalum ya...
3 hours ago
0 Comments