Baadhi ya Maafisa wa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC kutoka Unguja na Pemba, wakiwa kwenye ziara ya wiki moja Mkoa wa Arusha wakitembelea Mahakama ya ya Afrika ya haki za binadamu na haki za watu, mahakama ya Afrika Mashariki, Bunge la Afrika mashariki mnamo tarehe 5 hadi 11 sept. 2016 (PICHA KWA HISANI YA ZLSC PEMBA)
MEYA KIBAHA KUTOA ZAIDI YA MILION 18 KUCHIMBA VISIMA VINNE KUPUNGUZA KERO
YA MAJI PANGANI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya
Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba...
5 hours ago


0 Comments