WASAMARIA wema wakimsaidia mmoja wa majeruhi wa
ajali ya gari ya abiria iliyotokea birikau, wakati wakimsaidia kumpeleka wodini
baada ya kupatia matibabu, ajali hiyo imetokea wakati wakirudi harusini na huku
majeruhi 32 wakinusurika kufa.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
WATOA huduma katika hospitali ya Chake Chake
Kisiwani Pemba, wakimsaidia mmoja ya majeruhi wa ajali ya gari ya abiria
iliyotokea birikau, baada ya kupatiwa matibabu ya huduma ya kwanza na kumpeleka
wodini.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MADAKTARI wa hospitali ya Chake Chake Chumba cha
Upasuaji, wakimpeleka wodini mmoja wa majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea
Shengejuu Wilaya ya Wete, huku abiria 12 walinusurika kufa katika ajali hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)



0 Comments