Sehemu ya tuta la kuzuia maji chumvi huko Ndagoni
Ujumbe wa Benki ya Dunia ukikagua mradi wa tuta la kuzuia maji chumvi huko shehia ya Ndagoni kisiwani Pemba. Mradi huu uko chini ya Tasaf
Ujumbe wa Benki ya Dunia ukipata maelezo juu ya mradi wa tuta la kuzuia maji chumvi huko Ndagoni
Baadhi ya miti ya mikoko iliyopandwa
Picha zote na Haji Nassor Pemba
JAFO: WATUMISHI KISARAWE FANYENI KAZI KWA WELEDI NA USHIRIKIANO
-
*Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na watumishi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wakati wa ziara yake ya kuwashukuru
kw...
1 hour ago
0 Comments