MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe;Balozi Seif Ali Iddi,akiangalia moja ya mipira inayozalishwa na wafanya kazi wa kiwanda cha Mipira Kisiwani Pemba,(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Mradi wa CookFund unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) na kutekelezwa na
UNCDF waleta Mageuzi ya matumizi ya Nishati katika taasisi za umma.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Zaidi ya wanafunzi 62,000 kote Tanzania sasa wananufaika na majiko salama
na safi zaidi kufuatia usakinishaji wa zaidi ya majiko...
3 hours ago
0 Comments