Mbunge wa Dimani (CCM). Hafidh Ali Tahir amefariki dunia katika Hospitali ya General huko Dodoma. Kwa mujibu wa Wabunge wenzake wanasema juzi Mbunge huyo ambaye ni Kocha Msaidizi alikwenda mazoezini akiwa amevaa suti huku wenzake wakimtania kutokana na vazi hilo lakini mwenyewe alijibu hajisikii vizuri lakini baada ya mazoezi aliendelea na vikao vya kamati tendaji kama kawaida hadi saa nane usiku alipojisikia vibaya na kwenda hospitali mwenyewe kwa gari yake na baada ya saa moja alifariki dunia majirani ya saa tisa usiku. Mwenyeenzi Mungu amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema
BIL. 73.8 KUPELEKA UMEME VITONGOJI 527 MKOA WA TANGA
-
📌 Wakandarasi wasisitizwa kujiepusha na vitendo vya rushwa, lugha za kuudhi
📌Mradi wa umeme kwenye vitongoji kufungua zaidi fursa za kiuchumi
Serikal...
2 minutes ago

0 Comments