6/recent/ticker-posts

Bandari ya Zanzibar Ikipokea Meli Mbalimbali za Mizigo

Meli ya Mizigo kutoka Nje ikiwa na Shehena ya Makontena ya Wafanyabiashara wa Zanzibar ikifunga gati katika bandari hiyo kwa ajili ya kushusha mizigo hiyo kwa mahitaji ya Wananchi wa Zanzibar. Kama inavyoonekana pichani ikifunga gati katika bandari hiyo. 

Post a Comment

0 Comments