Waziri wa Habari Utamaduni Michezi Mhe Nape Nnauye, akiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa TBN kwa ajili ya kufunga mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la Mfuko wa PSPF Dar es Salaam.
Waendeshaji wa mitandao ya kijamii (bloggers) wakipiga picha ya Selfie na Waziri
wa habari na Uenezi mara baada ya kufunga kongamano la mkutano mkuu wa mwaka wa
Tanzania Network (TBN) jijini Dar es Salaam leo
KRETA YA EMPAKAAI (EMPAKAAI CRATER).
-
Kasoko ya Empakaai ni mojawapo ya Kasoko za volkano ndani ya Hifadhi ya
Ngorongoro, ikiwa na kingo za juu na ziwa zuri linalofunika zaidi ya
asilimia 75 ...
1 hour ago
0 Comments