Fr. Richard Haki akiongoza Ibara ya Krismas katika Kanisa la Minara Miwili Shangani kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Yesu Kristo. ibada hiyo imefanyika katika kanisa hilo na kuhudhuriwa na Wananchi wa Zanzibar na wageni waliofika Zanzibar kwa matembezi mbalimbali wamejumuika katika ibada hiyo.
BURIANI JENISTA MHAGAMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) John Mongella, wakitoa heshima za mwisho
kuaga m...
20 hours ago
0 Comments