LICHA ya Serikali kutaka kujenga viwanja vya michezo kila Wilaya, lakini ipo haja ya kuandaa mazingira mazuri ya kukuza soka la vijana, Pichani watoto wakicheza mpira katika Uwanja wao ambao husubiri hadi maji ya bahari kukupwa na kutoka ndipo wapate nafasi ya kucheza mpira huko Wesha Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
TRA YAANZA KUCHUKUA HATUA UTARATIBU MPYA UINGIZAJI MAFUTA YA KULA
-
KAMISHINA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Yusuph Mwenda amesema
Mamlaka hiyo tayari imeanza kuchukua hatua kuelekea kuanza kutumika kwa
utaratibu m...
8 hours ago
0 Comments