6/recent/ticker-posts

Neema ya Kambisi!


Mchukuzi wa Samaki akimbeba samaki aina ya Kambisi  na kumpeleka kwenye mnada tayari kwa kunadiwa.

Samaki kama hawa huwa wanavuliwa sana Kisiwani Pemba,wakati wa kiangazi.

Picha na Asha Salim-Pemba.

Post a Comment

0 Comments