KUMEKUWA na tabia kwa baadhi ya wasafiri wanaopanda
ndege kutoka Pemba-Unguja-Dar-Tanga, kuondoka na vitu visivyotakiwa, pichani
vitu mbali mbali ambavyo vimezuiliwa katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba,
ambavyo havifai kuingia navyo ndani ya Ndege.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA).
FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze
-
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa
wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa
mlaj...
42 minutes ago
0 Comments