6/recent/ticker-posts

Ajali Daraja la Kazole Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Wananchi wa Kijiji cha Kazole Wilaya ya Kaskazi A Unguja wakiangalia lori la gari ya mchanga ikiwa imeingia daraja hilo wakati likiwa katika kazi zake za kubeba mchanga likitokea katika mashimo ya mchanga Donge Kipange.

Post a Comment

0 Comments