Wananchi wa Visiwani Zanzibar wakiwa katika maduka ya mtaa wa mchangani wakikamilisha mahitaji ya Watoto wao kwa ajili ya matumizi ya kusherehekea Sikukuu ya Eid el Firty, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hiyo jana na kufunga mtaa huo na kukosa pa kutia mguu kwa wananchi walivyokuwa katika harakati hizo.
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
-
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha
mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo
mwani korosho...
54 minutes ago
0 Comments