Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, akivalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika, wakati wa kikao chake na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma mjini, akiwa katika ziara ya Kichama mkoani Kigoma, leo. Kikao hicho kiliwahusisha pia Mabalozi, Watendaji wa Chama na wale wa Serikali. Anayemvisha ni Mzee Jafari Nkubebo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, akiwa amekalia kigoda, baada ya kuvalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika, wakati wa kikao chake na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma mjini, akiwa katika ziara ya Kichama mkoani Kigoma, leo. Kikao hicho kiliwahusisha pia Mabalozi, Watendaji wa Chama na wale wa Serikali. Anayemvisha ni Mzee Jafari Nkubebo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Waalid Kaburou aki mkabidhi mkuki, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo, baada ya kumvalishwa vazi aina ya Mpuzu la heshima la Waha, kumtawaza kuwa kiongozi anayeheshimika,
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
TCAA YAIMARISHA USALAMA WA ANGA KWA MIFUMO YA KISASA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema imejizatiti kuendana na
mabadiliko ya teknolojia duniani, ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba (AI),
ili ku...
0 Comments