MJASIRIAMALI
wa biashara ya nazi katika eneo la chukwani unguja Ndg Salim Ali Mihambo akipanga bidhaa hizo
kama alivyokutwa na mpiga picha wetu akiwa katika harakati za kupanga bidhaa
hiyo, fungu moja anauza shilingi 10,000/= likiwa na nazi 8, bidhaa ya nazi katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani hutumika kwa wingi katika mapishi ya futari na maakuli mengine.
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
6 minutes ago
0 Comments