Mkuu wa Mkoa Pemba Kusini Mhe. Mwanajuma Majidi Abdalallah (Kulia) akipokea zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani kutoka kwa Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari ilifanyika mwishoni mwa wiki Mjini Pemba- Zanzibar.
Meneja Mwandamizi wa kitengo cha wateja Binafsi wa NMB - Omari Mtiga (Kulia) akimkabidhi Afisa Tawala Mkoa wa Pemba, Bwana Yussuf Mohammed Ali zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani iliyotolewa na Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam, Bi. Vicky Bishubo (hayupo pichani) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba.
Sehemu ya wageni waalikwa ambao walihudhuria tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Mjini Pemba-Zanzibar.
Maofisa wa Benki ya NMB wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mku wa Mkoa Pemba Kusini, Mhe. Mwanajuma Majidi Abdalallah (Wa nne kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari ilifanyika mwishoni mwa wiki Mjini Pemba.
Maofisa wa Benki ya NMB wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mku wa Mkoa Pemba Kusini, Mhe. Mwanajuma Majidi Abdalallah (Wa nne kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwaajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Mjini Pemba. Hafla hii ya Futari ilifanyika mwishoni mwa wiki Mjini Pemba.
MGODI WA KIHISTORIA WA NIOBIUM KUJENGWA MKOANI MBEYA
-
-Ni Mradi wa Panda Hill wa Niobium utakaogharimu TSh 700 bn
-Ni uwekezaji unaohusisha Kampuni ya Denham ya Marekani.
-Rais Samia apongezwa kufanikisha mrad...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
TCAA YAIMARISHA USALAMA WA ANGA KWA MIFUMO YA KISASA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema imejizatiti kuendana na
mabadiliko ya teknolojia duniani, ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba (AI),
ili ku...
1 Comments
Jamani naomba msaada wenu, hivi mjini Pemba ndio wapi? Naomba kuelimishwa
ReplyDelete