6/recent/ticker-posts

Mwonekano wa Jengo la Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba



Muonekano wa Jengo la Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba , ulivyosasa baada ya kujengwa upya kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , ambazo zinaushirikiano wa muda mkubwa sasa.

PICHA NA HAMAD SHAPANDU -MAELEZO -PEMBA.

Post a Comment

0 Comments