Wananchi katika eneo la mitaa ya mji wa Chakechake wakisaidia na
kuangalia ajali ya vespa iliokuwa ikiendeshwa na Ndg.Yussuf Ramadhan, baada ya kutokezea ajali hiyo leo katika mida ya saa saa 8: 56 karibu na Ofisi za Tume ya
uchaguzi Zanzibar.(Picha na mpiga picha wetu Pemba)
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
5 hours ago
0 Comments