Wachezaji wa mchezo wa JWTZ wakijiandaa na michuano ya Majeshi ya Afrika Mashariki yanayotarajiwa kufanyika Nchini Burundi mwezui huu 26, Agusti kutimbua vumbi kwa michezo mbalimbali. Wakiwa katika Kambi yao ya mazoezi Zanzibar kujiandaa ni michuano hiyo. Wakifanya mazoezi hayo katika uwanja wa Nyuki maisara Zanzibar.
Tanzia : Rais Dkt. Samia Atangaza Kifo cha Mhe. William Lukuvi
-
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current
News, Entertainment and Advertisements.
4 hours ago
0 Comments