Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zanlink Liquid Telecom Zanzibar Sanjay Raja akimkabidhi fulana mmoja wa wachezaji Watatu wa Golf Zanzibar Kampuni hiyo imewadhamini kushiriki katika mashindano hayo ya Golf yanayotarajiwa kufanyika Zanzibar Oktober 24 katika viwanja vya Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar na kushirikisha wachezaji maarufu wa mchezo huo, akipokea fulana mchezani Mussa Foum kutoka klabu ya Maisara Golf na Kassim Ame kushoto Mujumba wa Kamati ya maandalizi ya mashindano hayo kutoka Taasisi ya Zanzibar Rotary Club Bi. Sjani Muggenburg, hafla hiyo imefanyika katika ofisi za Kampuni ya Zanlink Majestic Zanzibar leo 19-10-2017.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
2 hours ago
0 Comments