6/recent/ticker-posts

Ligi ya Netiboli Kanda ya Unguja Kati ya Duma na Afya Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Gymkhana Timu ya Duma Imeshinda 46 - 34.

Mchezaji wa Timu ya Duma akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Netiboli Kanda ya Unguja inayofanyika katika viwanja vya Gymkhana Unguja Timu ya Duma imeshinda kwa mabao 46-34.



Post a Comment

0 Comments