CDR Hussein Mohammed Seif akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mbio za Marathoni zinazotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa Oktoba 29, Zanzibar na kuzia mbio hizo katika eneo la Kambi ya KMKM Kibweni Zanzibar na kumalizikia katika viwanja vya maisara. Mbio hizo zitawashirikisha wakimbiaji kutoka Zanzibar Tanzania Bara na Kenya tayari wamethibitisha kushiriki mbio hizo za Marathoni.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
2 hours ago
0 Comments