MLANGO wa kuingia uwanja wa Gombani upande wa ZFA ukiwa umevunjwa kwa kutolewa sehemu ya chini na mashabiki wanaodaiwa kuwa wa Timu ya Shaba, baada ya mchezo wao na Wawi Star kumalizika kwa Shaba kufungwa goli 1-0.(PICHA NA MWANDISHI WETU ,PEMBA)
TET,JENGA HUB WAFUNGA KIKAO KAZI CHA KUANDAA MAUDHUI YA KUHESABU 'KALIMANI
APP' KWA AJILI YA WANAFUNZI VIZIWI
-
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt Aneth Komba leo
tarehe 27/3/2026 amefunga rasmi kikao kazi cha siku tatu cha kuandaa
maudhui ya Kuhe...
9 minutes ago


0 Comments