Wananchi mbalimbali walifika bandarini Zanzibar kwenda kuitembelea meli ya Sultan wa Oman inayoitwa Fulk Al Salaam ambayo inazuru Zanzibar pamoja na baadhi ya Mawaziri wa Serikli ya Oman.
Ujenzi miundombinu ya BRT Awamu ya Tatu Gongo la Mboto wafikia 99%
-
Na. Mwandishi Wetu.
Awamu ya Tatu ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka maarufu kama Mwendokasi
katika Barabara ya Nyerere kuelekea Gongolamboto na maeneo yaJ...
20 minutes ago



0 Comments