Jaji Semistocles Kaijage (katikati) akiongoza kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kilichokuwa kinajadili rufaa za wagombea udiwani pamoja uteuzi wa Wanawake wa udiwani wa viti Maalum. Kulia kwake ni Hamid Mahamoud Hamid na kushotoka kwa mwenyekiti ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani (Picha na NEC)
TRA PWANI YAKAMATA BIDHAA ZA MAGENDO BANDARI YA BAGAMOYO
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani imekamata bidhaa mbalimbali
za magendo katika Wilaya ya Bagamoyo ikiwemo viroba 50 vya mchele, madumu
10 ya ...
6 hours ago
0 Comments