6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Netiboli Ligi Kuu Kanda ya Unguja Kati ya Timu ya Duma na Mafunzo Uwanja wa Gmykhana Timu ya Mafunzo Imeshinda kwa Mabao 45 - 33.

Mchezaji wa Timu ya Duma Mwansiti Vitalis akiwa na mpira akijianda kutoa wapasi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Netiboli Kanda ya Unguja iliofanyika katika uwanja wa gymkhana Zanzibar Timu ya Mafunzo imeshinda mchezo huo kwa mabao 45 - 33 
Mchezaji wa Timu ya Duma Mwansiti Vitalis akijiandaa kufunga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Netiboli Kanda ya Unguja iliofanyika katika uwanja wa gymkhana Timu ya Mafunzo imeshinda mchezo huo kwa mabao 45 - 33.





Post a Comment

0 Comments