Mfanyakazi wa Baraza la Minispa Zanzibar akizoa michanga katika moja ya barabara katika eneo la rahaleo ili kuiweka katika miundombinu mizuri ya barabara hiyo baada ya kupita kwa mvua za vuli zinazonyesha katika maeneo mbalimbali ya Mjini wa Zanzibar na kusababisha milundikano ya michanga katika njia hiyo.
JIMBO LA VUNJO LAZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI
-
JIMBO la Vunjo limezindua kampeni maalum ya upandaji miti katika jimbo hilo
ikiwa ni mkakati wa kuimarisha uhifadhi wa mazingira na kukabiliana na
athari...
4 minutes ago
0 Comments