Wachukuza katika Marikiti Kuu ya Darajani wakiwa katika harakati za kumpima samaki aina ya chewa aliyevuliwa katika bahari ya Zanzibar na kufikisha katika soko la samaki kwa ajili ya kuuzwa akiwa na uzito wa kilo 150.
WAZIRI MAVUNDE KUWACHUKULIA HATUA MAAFISA MADINI WANAOSABABISHA MIGOGORO
-
Dodoma | Januari 22, 2026
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema Serikali haitasita
kuwachukulia hatua kali Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa ambao o...
2 hours ago



0 Comments