Meli ya Kitalii ikiondoka katika bahari ya Zanzibar baada ya kumaliza Watalii kutembelea katika kisiwa cha Unguja na sehemu mbalimbali za Vivutio vya Utalii na sehemu za Historia ya Zanzibar.
KATAMBI: UKIRITIMBA UNADUMAZA BIASHARA, HATUA MADHUBUTI ZAHITAJIKA
-
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi ,akizungumza
wakati wa ziara yake katika Baraza la Ushindani (FCT) Jijini Dar es Salaam.
......
53 minutes ago
0 Comments