Mabaki ya ndege ndogo aina ya Cherokee 140 iliyoanguka katika uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume leo jioni ilipokuwa ikijiandaa na safari yake ya Dar. na kuanguka na kuwaka moto. Rubani wa ndege pamoja na fundi aliekuwa katika ndege hii wamefariki dunia.
RAIS DKT.SAMIA APOKEA RIPOTI YA CAG, TAKUKURU NA PPRA LEO IKULU JIJINI DAR
ES SALAAM.
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti za
Mdhibiti...
14 minutes ago



0 Comments