WAZIRI wa Vijana, Michezo Utamaduni na sanaa Balozi Abeid Amani Karume, akikabidhi vifaa vyenye thamani ya Milioni 12 Kocha wa Timu ya Amber Sport Bwana Ahmed Shuberi vilivyotolewa na Kampuni ya Pannyroyal Limited, wa kwanza kulia Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Bwana Saleh Mohamed Said
Teknolojia : Serikali Yaombwa Kutazama Upya Ghrama za Usajili na Kodi kwa
Vyombo vya Habari vya Mtandaoni
-
Serikali imeombwa kupunguza gharama za usajili wa vyombo vya habari
mtandaoni (Online Media) ili kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kujiajiri.
Ombi hil...
9 hours ago
0 Comments