6/recent/ticker-posts

Wananchi wavamia na kuchimba mchanga kinyume cha sheria


SHEHA wa shehia ya Makoongwe Wilaya ya Mkoani Silima Hija Hassan, akimkaguza mwandishi wa habari wa shirika la magazeti la Serikali Zanzibar leo Pemba, Haji Nassor Mohamed eneo ambalo wananchi wamevamia na kuchimba mchanga kinyume na sheria.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

Post a Comment

0 Comments