6/recent/ticker-posts

Wanafunzi wa Skuli na Vyuo Wakijisomea. Katika Viwanja vya Bustani ya Weles Zenj.

Wanafunzi wa Skuli na Vyuo Vikuu Zanzibar wakiwa katika bustani za Weles Unguja wakiwa katika makundi wakijisomea kwa pamoja kujiandaa na mitihani yao.Kama walivyokutwa katika bustani hiyo wakiwa katika harakati hizo leo. 

Post a Comment

0 Comments