Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) tayari kufungua Mkutano wa Kimataifa unaohusu masuala ya Jinsia na Mahakama Afrika ulioandaliwa na Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia, wengine pichani kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma,Waziri wa Sheria Dkt. Palamagamba Kabudi pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo.
Jamii Yaaswa Kufuatilia na Kuchangamkia Fursa za Maendeleo Zinazotolewa na
Serikali
-
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv
JAMII imetakiwa kuwa mstari wa mbele katika kufuatilia, kutambua na
kuchangamkia fursa mbalimbali za maendeleo zinazotolewa n...
8 hours ago

0 Comments