Mabingwa wa Kombe la Sport Pesa Mwaka 2018 Timu Gor Mahia wakishangilia ubingwa wao baada ya kushinda mchezo wao wa Fainali na Timu ya Simba ya Tanzania Mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Nakuru Nchini Kenya.
MEYA KIBAHA KUTOA ZAIDI YA MILION 18 KUCHIMBA VISIMA VINNE KUPUNGUZA KERO
YA MAJI PANGANI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya
Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba...
2 hours ago




0 Comments