Mfanyabiashara katika Soko Kuu la Mwanakwerekwe Zanzibar akiwa katika harakati za kupanga mafungu ya viazi vitamu na majimbo katika Soko la Mwanakwerekwe, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu akiwa katika harakati hiyo, fugu moja anauza kati ya shilingi 2000/= na 5000/=.
FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze
-
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa
wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa
mlaj...
1 hour ago
0 Comments